Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yote Hayo Hugharimiwaje?
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Kwa miaka mingi walirejezea ugawanyaji wao wa fasihi kuwa “kuuza.” Lakini usemi huo ulisababisha mvurugo, na kwa hiyo kuanzia na 1929, uliacha kutumiwa hatua kwa hatua. Usemi huo haukufaana kwelikweli na utendaji wao, kwa kuwa kazi yao haikuwa ya kibiashara. Lengo lao halikuwa kuchuma fedha. Kusudio lao lote lilikuwa kuhubiri habari njema za Ufalme wa Mungu. Kwa sababu hiyo, katika 1943 Mahakama Kuu Zaidi ya Marekani iliamua kwamba Mashahidi wa Yehova hawakutakwa kupata leseni ya kuchuuza kibiashara kabla ya kugawanya fasihi zao. Na mahakama ya Kanada baada ya hapo ilinukuu kwa kupendelea kutoa sababu kulikofanywa na Mahakama Kuu Zaidi ya Marekani katika uamuzi huo.b

  • Yote Hayo Hugharimiwaje?
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • b Murdock v. Commonwealth of Pennsylvania, 319 U.S. 105 (1943); Odell v. Trepanier, 95 C.C.C. 241 (1949).

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki