-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—2000 | Oktoba 15
-
-
Vivyo hivyo, damu inayotiririka kwenye kidonda inaweza kuchukuliwa na kuchujwa ili chembe nyekundu ziweze kurudishwa katika mwili wa mgonjwa; mbinu hii inaitwa uokoaji wa chembe za damu.
-
-
Maswali Kutoka kwa WasomajiMnara wa Mlinzi—2000 | Oktoba 15
-
-
Mbinu hizo zaweza kuwa tofauti, na bila shaka mbinu, matibabu, na upimaji mpya wa damu zitatokezwa. Si jukumu letu kuchanganua kila mbinu tofauti na kutoa uamuzi. Mkristo apaswa kuamua mwenyewe kuhusu jinsi damu yake mwenyewe itakavyotumiwa wakati wa upasuaji, upimaji damu, au tiba inayotumika wakati huo. Anapaswa kujua mapema kutoka kwa daktari au mtaalamu wa kitiba mambo ambayo huenda yakafanyiwa damu yake wanapotumia mbinu hiyo. Kisha lazima aamue kulingana na dhamiri yake. (Ona sanduku.)
-