-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Waskandinevia Washiriki Pamoja na Wengine
Wasweden wengi walikuwa wakiishi katika Amerika. Katika 1883 sampuli ya nakala ya Watch Tower iliyotafsiriwa katika Kisweden ilitolewa ili kugawanywa miongoni mwao. Upesi nakala hizo zikafikia kwa njia ya barua watu wa ukoo na marafiki katika Sweden.
-
-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Hata hivyo, kabla ya kuacha utumishi, Winter alifanya kazi fulani ya kolpota katika Sweden. Muda mfupi baada ya hapo, nyumbani mwa rafiki katika kisiwa cha Sturkö, August Lundborg, kijana kapteni wa Jeshi la Wokovu, aliona mabuku mawili ya Millennial Dawn. Aliyaazima, akayasoma kwa hamu, akaacha kanisa, na kuanza kushiriki pamoja na wengine yale aliyokuwa amejifunza. Macho ya kijana mwingine, P. J. Johansson, yalifunguliwa kama tokeo la kusoma trakti aliyookota juu ya benchi la bustanini.
-