-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Muda mfupi baada ya hapo, nyumbani mwa rafiki katika kisiwa cha Sturkö, August Lundborg, kijana kapteni wa Jeshi la Wokovu, aliona mabuku mawili ya Millennial Dawn. Aliyaazima, akayasoma kwa hamu, akaacha kanisa, na kuanza kushiriki pamoja na wengine yale aliyokuwa amejifunza.
-
-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Ebba, mke wa August Lundborg, alitoka Sweden akaenda Finland kufanya kazi ya kolpota katika 1906.
-