Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Dini ya Calvin Imetimiza Nini Tangu Ianzishwe Miaka 500 Iliyopita?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 1
    • Katika mwaka wa 1560, wakimbizi hao walichapisha Geneva Bible (Biblia ya Geneva), ambayo ni Biblia ya kwanza yenye maandishi yaliyogawanywa kwa mistari yenye nambari. Kwa kuwa ilikuwa ndogo, ilifaa kwa usomaji wa kibinafsi wa Neno la Mungu. Yaelekea hii ndiyo Biblia ambayo Wapuriti walibeba walipohamia Amerika ya Kaskazini mwaka wa 1620.

  • Dini ya Calvin Imetimiza Nini Tangu Ianzishwe Miaka 500 Iliyopita?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 1
    • [Picha katika ukurasa wa 21]

      Tafsiri ya “Geneva Bible” (Biblia ya Geneva) (1560) ndio Biblia ya kwanza ya Kiingereza ambayo ina mistari yenye nambari

      [Hisani]

      Courtesy American Bible Society

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki