-
“Wakati wa Nia Njema”Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
6. Kinywa cha Mesiya ni kama upanga mkali kwa njia gani, naye amefichwa na kusitiriwa jinsi gani?
6 Maneno ya Mesiya ya kiunabii yanaendelea kusema: “Naye anifanya kinywa changu kuwa kama upanga mkali; katika kivuli cha mkono wake amenisitiri;
-
-
“Wakati wa Nia Njema”Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wakati ufikapo ili Mesiya wa Yehova aanze huduma yake ya kidunia mwaka wa 29 W.K., kweli maneno na matendo ya Yesu yanakuwa kama silaha kali zilizosuguliwa, zinazoweza kuipenya mioyo ya wasikilizaji. (Luka 4:31, 32)
-
-
“Wakati wa Nia Njema”Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Yesu anatoa uhai wake kwa ajili ya wanadamu katika wakati uliowekwa. Lakini wakati utafika ajitokeze akiwa shujaa hodari wa kimbingu mwenye silaha tofauti, upanga mkali unaotoka katika kinywa chake. Safari hii, upanga huo mkali unawakilisha mamlaka ya Yesu ya kutamka hukumu na kuzifikiliza juu ya adui za Yehova.—Ufunuo 1:16.
-