-
Jina la Mungu Lajulishwa Katika KiswahiliMnara wa Mlinzi—2012 | Septemba 1
-
-
Ni lugha ya taifa au lugha rasmi katika nchi kadhaa, kama vile Kenya, Tanzania, na Uganda.
-
-
Jina la Mungu Lajulishwa Katika KiswahiliMnara wa Mlinzi—2012 | Septemba 1
-
-
Kiswahili kimesaidia sana katika kuunganisha watu wa Afrika Mashariki. Kwa mfano, nchini Tanzania pekee kuna makabila ya watu wanaozungumza angalau lugha 114 tofauti-tofauti. Hebu wazia ukisafiri kati ya kilomita 40 hadi 80 kutoka nyumbani kwako na unakutana na watu wanaozungumza lugha tofauti kabisa na lugha yako! Na katika sehemu nyingine, watu wanaozungumza lugha fulani wanaishi katika vijiji vichache vidogo-vidogo.
-