Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Faraja ya Kweli Inaweza Kupatikana Wapi?
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Mei 1
    • Yesu aliwahakikishia hivi: “Msaidiaji, roho takatifu, . . . itawafundisha nyinyi mambo yote

  • Faraja ya Kweli Inaweza Kupatikana Wapi?
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Mei 1
    • 13. Roho takatifu iliwafundishaje Wakristo wa mapema?

      13 Mbali na kuwakumbusha tu maneno ya Yesu, roho takatifu iliwafundisha na kuwaongoza wanafunzi hao waelewe kusudi la Mungu vizuri zaidi. Yesu alipokuwa na wanafunzi wake, aliwaambia mambo ambayo hawakuyaelewa waziwazi wakati huo. Hata hivyo, baadaye Yohana, Petro, Yakobo, Yuda, na Paulo, waliongozwa na roho takatifu kueleza katika maandishi yao mambo mengi zaidi kuhusu kusudi la Mungu. Kwa hiyo, roho takatifu iliwafundisha na hivyo kuwapa wanafunzi uhakikisho mzuri kwamba waliongozwa na Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki