Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kwa Nini Umwone Daktari wa Meno?
    Amkeni!—2007 | Mei
    • Daktari anaweza kufanya nini kuhusu meno yaliyong’oka? Anaweza kuweka meno bandia yanayoweza kutolewa, au anaweza kuweka kitu kinachoshikilia meno bandia (bridge). Mbinu nyingine inayozidi kuwa maarufu ni kupandikiza. Daktari hufanyiza msingi kwa kutumia titani ndani ya taya mahali ambapo jino lilikuwa, na baada ya mfupa na fizi kukua, anaingiza jino bandia kwenye msingi huo. Ni sawa tu na kuwa na jino halisi.

  • Kwa Nini Umwone Daktari wa Meno?
    Amkeni!—2007 | Mei
    • [Picha katika ukurasa wa 30]

      (Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)

      Kurekebisha Meno

      Kitu kinachowekwa juu ya jino

      “Taji”

      Kupandikiza

      “Bridge” hufunika pande zote za nafasi ya jino na kushikilia jino bandia

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki