-
Ni Nani Aliyebuni Kwanza?Amkeni!—2010 | Machi
-
-
Ni Nani Aliyebuni Kwanza?
MNAMO 1973, Dakt. Martin Cooper ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza kuonyesha jinsi ambavyo simu ya mkononi hutumiwa. Ilikuwa na betri, redio, na kompyuta ndogo. Wakazi wa jiji la New York waliduwaa walipomwona Cooper akipiga simu barabarani. Lakini jambo hilo liliwezekana tu kwa kuwa Alessandro Volta alikuwa amevumbua betri inayohifadhi umeme katika mwaka wa 1800. Isitoshe, simu ilikuwa imetokezwa kufikia mwaka wa 1876, redio mwaka wa 1895, na kompyuta mwaka wa 1946. Mwishowe, kuvumbuliwa kwa kompyuta ndogo mnamo 1971 kuliwezesha simu ya mkononi ibuniwe.
-
-
Ni Nani Aliyebuni Kwanza?Amkeni!—2010 | Machi
-
-
[Mchoro/Picha katika ukurasa wa 3]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
1800
Betri inayohifadhi umeme
1876
Simu
1971
Kompyuta ndogo
1973
Dakt. Martin Cooper alivumbua simu ya mkononi
[Hisani]
Dr. Cooper and mobile phone: © Mark Berry
-