Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Weka Moyoni Mwako’ Hekalu la Mungu!
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Machi 1
    • Fikiria: Hekalu ambalo Ezekieli aliona kwa kweli halingeweza kujengwa kama ilivyofafanuliwa. Ni kweli, Wayahudi walilichukulia ono hilo kwa uzito na hata wakafanya mambo kadhaa kwa njia halisi.b Hata hivyo, hekalu hilo la kimaono lote lilikuwa kubwa mno lisiweze hata kutoshea juu ya Mlima Moria, mahali ambapo hekalu la kwanza lilikuwa. Kwa kuongezea, hekalu la Ezekieli halikuwa ndani ya jiji bali umbali fulani katika eneo la shamba tofauti, ilhali hekalu la pili lilijengwa mahali palipokuwa na lile la kwanza, jijini Yerusalemu. (Ezra 1:1, 2) Na zaidi, hakuna mto wowote halisi ulitokea ndani ya hekalu la Yerusalemu. Hivyo basi, Israeli la kale lilipata utimizo mdogo tu wa unabii wa Ezekieli.

  • ‘Weka Moyoni Mwako’ Hekalu la Mungu!
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Machi 1
    • b Kwa mfano, Mishna ya kale hudokeza kwamba katika hekalu lililorudishwa, madhabahu, milango ya hekalu yenye sehemu mbili, na sehemu za kupikia zilijengwa kupatana na ono la Ezekieli.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki