-
Ukweli Kuhusu Sherehe ZinazopendwaAmkeni!—2001 | Oktoba 8
-
-
Mwadhimisho wa kawaida ulianza Mei 13,b 609 au 610 W.K., wakati Papa Boniface wa 4 alipoweka wakfu Pantheon—hekalu la Roma la miungu yote—kwa Mariamu na wafia-imani wote. Markale asema hivi: “Mahali pa miungu ya Roma palichukuliwa na watakatifu wa dini bandia ya Kikristo.”
-
-
Ukweli Kuhusu Sherehe ZinazopendwaAmkeni!—2001 | Oktoba 8
-
-
b Inastaajabisha kwamba tarehe hiyo ililingana na sherehe ya Kiroma ya Lemuria, iliyofanywa Mei 9, 11, na 13 ili kutuliza nafsi za wafu zisisumbue na kudhuru jamaa zao.
-