-
“Babuloni Mkubwa Ameanguka!”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na bado malaika mwingine [wa tano] akaibuka kutoka katika patakatifu pa hekalu palimo katika mbingu, yeye, vilevile, akiwa na mundu mkali.
-
-
“Babuloni Mkubwa Ameanguka!”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
25. (a) Ni nini kinachoonyeshwa na uhakika wa kwamba malaika wa tano anatoka katika patakatifu pa hekalu? (b) Ni kwa nini inafaa kwamba amri ya kuanza kuvuna inakuja kutoka kwa malaika ambaye “anaibuka kutoka katika madhabahu”?
25 Malaika wa tano anakuja kutoka kuwapo kwa Yehova katika patakatifu pa hekalu, hivyo, vuno la mwisho pia linafanywa kulingana na penzi la Yehova.
-