-
“Fuliza Kushikilia kwa Imara Kile Ulicho Nacho”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Yeye ambaye hushinda—mimi nitafanya yeye kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, na yeye hatatoka nje yalo tena kwa vyovyote.”—Ufunuo 3:12a, NW.
-
-
“Fuliza Kushikilia kwa Imara Kile Ulicho Nacho”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Maadamu wanadumu kuwa waaminifu, Wakristo wapakwa-mafuta duniani wanatumikia wakiwa makuhani wadogo katika nyua za kidunia za hekalu hili. (1 Petro 2:9) Lakini mara washindapo, wao pia wanaingia hapo patakatifu pa patakatifu pote katika mbingu nao wanakuwa mihimili isiyoondoleka, kama nguzo, za ule mpango ulio kama hekalu kwa ajili ya ibada. (Waebrania 10:19; Ufunuo 20:6)
-