Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tel Aradi—Eneo Linalotoa Ushuhuda
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Julai 1
    • Namna gani kuhusu hekalu lisilo la kawaida linalotajwa mwanzoni mwa habari hii? Jengo fulani huko Tel Aradi limewafanya watu wakisie-kisie kulihusu. Jengo hilo ni hekalu lenye madhabahu lililojengwa katika kipindi cha Yudea. Ingawa ni dogo, hekalu hilo linafanana sana na lile la Sulemani lililokuwa Yerusalemu. Hekalu la Aradi lilijengwa lini na kwa nini? Lilitumiwa jinsi gani? Waakiolojia na wanahistoria wanaweza tu kukisia.

      Yehova alikuwa ameeleza waziwazi kwamba hekalu la Yerusalemu ndicho kituo pekee alichokikubali kwa sherehe za kila mwaka na kutoa dhabihu. (Kumbukumbu la Torati 12:5; 2 Mambo ya Nyakati 7:12) Kwa hiyo, hekalu la Aradi lilijengwa na kutumiwa kinyume cha Sheria ya Mungu, huenda katika enzi ambapo madhabahu na desturi nyingine ziliwakengeusha watu wengi kutoka kwa ibada safi. (Ezekieli 6:13) Ikiwa ni hivyo, kituo hicho cha ibada ya uwongo huenda kiliharibiwa wakati wa marekebisho makubwa ya Hezekia au Yosia katika karne za nane na saba K.W.K.—2 Mambo ya Nyakati 31:1; 34:3-5, 33.

  • Tel Aradi—Eneo Linalotoa Ushuhuda
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Julai 1
    • [Picha katika ukurasa wa 25]

      Sehemu ya majengo ya hekalu huko Tel Aradi

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki