Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sirakusa Kituo Katika Safari ya Paulo
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Oktoba 15
    • [Picha katika ukurasa wa 30]

      Mabaki ya jumba la maonyesho la Kigiriki huko Sirakusa

  • Sirakusa Kituo Katika Safari ya Paulo
    Mnara wa Mlinzi—2007 | Oktoba 15
    • Jiji la kisasa liko barani, ambako unaweza kutembelea uwanja wa akiolojia wa Neapolisi. Jumba la maonyesho la Ugiriki liko karibu na lango la uwanja huo. Jumba hilo la maonyesho ni mojawapo ya majumba bora zaidi ya kale yaliyojengwa kwa muundo wa Kigiriki. Jumba hilo linaloelekea upande wa bahari, lilikuwa na mandhari maridadi sana kwa ajili ya maonyesho. Upande wa kusini wa uwanja huo kuna jumba kuu la maonyesho la Waroma la karne ya tatu W.K. Jumba hilo lina umbo la yai, lina urefu wa mita 140 na upana wa mita 119, nalo ndilo la tatu kwa ukubwa nchini Italia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki