-
Uzima wa Milele Duniani—Tumaini Lililofunuliwa TenaMnara wa Mlinzi—2009 | Agosti 15
-
-
Kwa mfano, Origen wa Aleksandria, Baba wa Kanisa katika karne ya tatu aliwashutumu watu walioamini kwamba Utawala wa Miaka Elfu utaleta baraka duniani.
-
-
Uzima wa Milele Duniani—Tumaini Lililofunuliwa TenaMnara wa Mlinzi—2009 | Agosti 15
-
-
Origen alikuwa mwanafunzi wa Clement wa Aleksandria, ambaye alikubali wazo la kutokufa kwa nafsi ambalo lilitegemea mapokeo ya Wagiriki. Origen alifuata sana mawazo ya Plato kuhusu nafsi hivi kwamba “akaingiza katika mafundisho ya Kikristo mawazo ya Plato kuhusu nafsi na mahali inapoenda,” anasema mwanatheolojia Werner Jaeger. Kwa hiyo, Origen alifundisha kwamba baraka zozote za Utawala wa Miaka Elfu hazingekuwa duniani bali zingekuwa katika makao ya roho.
-