Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya Wakristo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 6. Kunakuwa na nini baada ya hicho kimya katika mbingu, na ni katika kuitikia nini?

      6 Yohana anatuambia: “Lakini mara hiyo malaika akachukua chombo cha uvumba, na kukijaza baadhi ya moto wa madhabahu na kuuvurumisha kwenye dunia. Na ngurumo zikatukia na sauti na meme na tetemeko la dunia.” (Ufunuo 8:5, NW) Baada ya kimya, kuna utendaji wa ghafula wenye kutazamisha! Kwa wazi huo ni katika kuitikia “sala za watakatifu,” kwa kuwa huo unaanzishwa na moto uliochukuliwa kutoka madhabahu ya uvumba. Huko nyuma katika 1513 K.W.K. kwenye Mlima Sinai, ngurumo na meme, kelele kubwa, moto, na kutetemeka kwa mlima viliashiria kugeuzwa kwa uangalifu wa Yehova kuelekea watu wake. (Kutoka 19:16-20) Madhihirisho kama hayo yanayoripotiwa na Yohana hali kadhalika huonyesha uangalifu wa Yehova ukitolewa kwa watumishi wake duniani. Lakini anachoona Yohana kinatolewa kwa ishara. (Ufunuo 1:1, NW) Kwa hiyo moto, ngurumo, sauti, meme, na tetemeko la dunia vya ufananisho vitafasiriwaje leo?

  • Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya Wakristo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Moto ulivurumishwa duniani katika njia ya kwamba Ufalme wa Mungu ukawa ndilo suala lenye kuwaka, na ndivyo unaendelea kuwa! Sauti zenye nguvu zilichukua mahali pa kimya, zikivumisha ujumbe wa Ufalme kwa uwazi. Maonyo ya dhoruba yenye kunguruma kutoka Biblia yalitoa sauti.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki