Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuhuisha Mashahidi Wawili
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Hao wanafananishwa na mizeituni miwili na vinara vya taa viwili nao wanasimama mbele za Bwana wa dunia.”—Ufunuo 11:3, 4, NW.

  • Kuhuisha Mashahidi Wawili
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Yohana anawaita “mizeituni miwili na vinara vya taa viwili,” akisema kwamba wao “wanasimama mbele za Bwana wa dunia.” Hili ni rejezo la wazi kwenye unabii wa Zekaria, ambaye aliona kinara cha taa chenye matawi saba na mizeituni miwili. Hiyo mizeituni ilisemekana kuwa ni picha ya “wapakwa-mafuta wawili,” yaani, Gavana Zerubabeli na Kuhani Mkuu Yoshua, “wanasimama kando ya Bwana wa dunia kwa ujumla.”—Zekaria 4:1-3, 14, NW.

      14. (a) Ni nini kilichoonyeshwa na njozi ya Zekaria ya mizeituni miwili? na kinara cha taa? (b) Wakristo wapakwa-mafuta wangepatwa na nini wakati wa vita ya kwanza ya ulimwengu?

      14 Zekaria aliishi wakati wa kujenga upya, na njozi yake ya mizeituni miwili ilimaanisha kwamba Zerubabeli na Yoshua wangebarikiwa kwa roho ya Yehova katika kuimarisha watu kwa ajili ya kazi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki