-
Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya WakristoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na wa kwanza akapuliza tarumbeta yake. Na kukatukia mvua-mawe na moto uliotangamana na damu, nayo ikavurumishwa kwenye dunia; na theluthi moja ya dunia ikateketezwa, na theluthi moja ya miti ikateketezwa, na mimea yote ya chanikiwiti ikateketezwa.” (Ufunuo 8:7, NW)
-
-
Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya WakristoUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Mandhari-mfululizo ya tauni inafunua kwamba “theluthi” ya dunia ya Jumuiya ya Wakristo imeunguzwa na joto lenye kuchoma la kutokuwa na kibali cha Yehova. Wale walio mashuhuri wayo—wanaosimama kama miti katikati yayo—‘wanateketezwa’ na kule kupigwa mbiu ya hukumu mbaya ya Yehova.
-