-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
uaminifu [“ukweli,” “NW”] wake ni ngao na kigao.” (Zaburi 91:4)
-
-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
8. “Ukweli” wa Yehova unakuwa ngao kubwa na kigao jinsi gani?
8 Sisi hutumaini “ukweli,” au uaminifu. Ukweli huo ni kama ngao ya kale iliyokuwa kubwa vya kutosha kufunika mwili wote, na ambayo kwa kawaida ilifanana na mlango. (Zaburi 5:12) Uhakika wa kupata ulinzi kama huo hutuondolea hofu. (Mwanzo 15:1; Zaburi 84:11) Kama imani yetu, ukweli wa Mungu ni ngao kubwa inayotukinga na vishale vinavyowaka moto vya Shetani na vilevile mapigo ya adui. (Waefeso 6:16)
-