Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tahiti
    2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mpolinesia Maui Piirai, aliyefanya kazi na Jean-Marie, ndiye mwanafunzi wa kwanza wa Biblia kufanya maendeleo ya kiroho. Kweli ilipoingia moyoni mwake, Maui alifanya mabadiliko makubwa maishani mwake. Kwa mfano, aliacha ulevi na kuvuta sigara, naye akamwoa mwanamke aliyekuwa ameishi naye kwa miaka 15. Maui aliyebatizwa Oktoba 1958, ndiye Mpolinesia wa kwanza katika eneo hilo kujiweka wakfu kwa Yehova. Yeye pia alianza kuhubiri habari njema, jambo ambalo liliwakasirisha makasisi. Kasisi mmoja hata alipanga njama ili Maui afutwe kazi. Lakini njama hiyo ilishindwa kwa sababu Maui alikuwa mfanyakazi mwenye bidii na mwenye sifa nzuri.

  • Tahiti
    2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 71]

      Katika mwaka wa 1958, Jean-Marie Félix alimbatiza Maui Piirai, Mpolinesia wa kwanza katika eneo hilo kujiweka wakfu kwa Yehova

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki