Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tahiti
    2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mpolinesia Maui Piirai, aliyefanya kazi na Jean-Marie, ndiye mwanafunzi wa kwanza wa Biblia kufanya maendeleo ya kiroho. Kweli ilipoingia moyoni mwake, Maui alifanya mabadiliko makubwa maishani mwake. Kwa mfano, aliacha ulevi na kuvuta sigara, naye akamwoa mwanamke aliyekuwa ameishi naye kwa miaka 15. Maui aliyebatizwa Oktoba 1958, ndiye Mpolinesia wa kwanza katika eneo hilo kujiweka wakfu kwa Yehova. Yeye pia alianza kuhubiri habari njema, jambo ambalo liliwakasirisha makasisi. Kasisi mmoja hata alipanga njama ili Maui afutwe kazi. Lakini njama hiyo ilishindwa kwa sababu Maui alikuwa mfanyakazi mwenye bidii na mwenye sifa nzuri.

  • Tahiti
    2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Ndugu na Dada Félix na Maui Piirai walianza pia kujifunza na Manuari Tefaatau, aliyekuwa shemasi kijana katika kanisa la Kiprotestanti la Makatéa, na vilevile pamoja na rafiki yake, anayeitwa Arai Terii.

  • Tahiti
    2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Baadhi yao waliacha kusikiliza kwa sababu ya woga, lakini wengine wakafanya maendeleo ya kiroho na kuliacha kanisa. Miongoni mwa wale walioacha kanisa ni Manuari na Arai, Moea, mke wa Maui Piirai,

  • Tahiti
    2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mwanzoni, wahubiri na wanafunzi wa Biblia, ambao waliendelea kuongezeka, walifanya mikutano nyumbani kwa Ndugu na Dada Félix, ambako Jean-Marie alitoa hotuba katika Kifaransa na Maui akafasiri katika Kitahiti. Familia ya Félix ilipohama Makatéa mwaka wa 1959, mikutano ilifanywa nyumbani kwa Maui, ambaye wakati huo alikuwa amebatizwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki