-
Ongezeko Katika Nchi ya Uganda Yenye Makabila MengiMnara wa Mlinzi—2006 | Juni 15
-
-
Ingawa Kiingereza ndiyo lugha rasmi inayozungumzwa sana, hasa shuleni, Waganda wengi huzungumza lugha zao za asili. Hivyo, ili kuwapelekea watu habari njema, Mashahidi wa Yehova hufikiria pia lugha nyingine zinazozungumzwa sana na watu. Hilo limekuwa jambo muhimu kwa sababu zaidi ya asilimia 80 ya watu milioni 25 nchini Uganda wanaishi katika maeneo ya mashambani au katika miji midogo, ambako watu wanategemea sana lugha zao za asili katika mawasiliano ya kila siku.
-
-
Ongezeko Katika Nchi ya Uganda Yenye Makabila MengiMnara wa Mlinzi—2006 | Juni 15
-
-
lugha nne: Kiacholi, Kilhukonzo, Kiganda, na Runyankore.
-