-
Uganda2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Januari 1964, Gilbert na Joan Walters wa darasa la 38 la Gileadi walijiunga na Tom na Bethel. Wanafunzi wengine wa darasa hilohilo, Stephen na Barbara Hardy na Ron na Jenny Bicknell, walikuwa wametumwa Burundi, lakini kwa sababu hawakupata vibali vya kuingia nchini humo, wao pia wakatumwa Uganda. Makao mapya ya wamishonari mjini Kampala yalihitajiwa haraka!
-
-
Uganda2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 81]
Makao ya kwanza ya wamishonari mjini Jinja
-