Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Majengo ya kwanza kutumiwa kwa kusudi pekee la mikutano ya Kikristo yalikuwa majengo ya matofali yaliyoezekwa kwa nyasi sehemu za vijijini huko Namaingo na Rusese. Bila shaka jitihada za ndugu hao zilibarikiwa katika maeneo hayo mawili, na makutaniko yakasitawi huko.

  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Makutaniko mengi nchini Uganda sasa hufanyia mikutano yao katika Jumba la Ufalme, nayo yameona faida ya kuwa na jumba lao wenyewe. Kwa kawaida ni rahisi zaidi kwa watu wanaopendezwa kuja mahali rasmi pa ibada badala ya kwenda katika darasa, na kwa sababu hiyo hudhurio limeongezeka nayo makutaniko yamekua sana.

  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Baadaye, mizunguko zaidi ilianzishwa ili kushughulikia idadi yenye kuongezeka ya makutaniko na vikundi na lugha mbalimbali zinazotumika. Leo, kukiwa na makutaniko 111 na vikundi 50, Uganda ina mizunguko nane, mitatu ikiwa ya Kiganda.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki