-
Ongezeko Katika Nchi ya Uganda Yenye Makabila MengiMnara wa Mlinzi—2006 | Juni 15
-
-
Simon, mkulima kutoka mashariki mwa Uganda, alitafuta ukweli kwa miaka 16 hadi mwaka wa 1995 alipopata baadhi ya vichapo vilivyochapishwa na Mashahidi wa Yehova. Mambo aliyosoma yalimchochea kutaka kujua mengi zaidi kuhusu Ufalme wa Mungu na kusudi zuri la Yehova kuelekea dunia. Kwa kuwa hakukuwa na Mashahidi huko Kamuli mahali alipoishi, Simon alisafiri karibu kilometa 140 hadi Kampala ili kuwatafuta. Leo, kuna kutaniko katika kijiji hicho.
-
-
Ongezeko Katika Nchi ya Uganda Yenye Makabila MengiMnara wa Mlinzi—2006 | Juni 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 10]
Simon
-