Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • “Mambo mengi yalihitaji kupangwa upya,” waripoti ndugu hao. “Ni wahubiri 113 tu waliokuwa watendaji nchini Uganda wakati huo. Kila mmoja alifurahi kukusanyika na ndugu zake tena kwa uhuru na kufanya kusanyiko hadharani. Hudhurio lilikuwa 241, jambo ambalo tulishangilia.” Ijapokuwa mbegu za kweli zilikuwa zimekanyagwa-kanyagwa, ni wazi kwamba bado zingeweza kuzaa matunda.

  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Ulikuwa wakati barabara wa kufanya hivyo, kwa kuwa kwa mara nyingine tena ingewezekana kukusanyika pamoja nchini Uganda. Isitoshe, kufikia mwaka wa 1981 kulikuwa na wahubiri 175, na mwezi wa Julai mwaka huohuo, Uganda ilifurahi kuwa na kilele kipya cha wahubiri 206.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki