Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • KAZI YA KUHUBIRI YAANZA TENA

      Aprili 1950, Ndugu na Dada Kilminster kutoka Uingereza, walihamia Kampala. Walihubiri habari njema kwa bidii. Walifurahi sana familia mbili, moja ya Kigiriki na nyingine ya Kiitaliano, zilipokubali ujumbe wa Ufalme.

      Kisha, Desemba 1952, Ndugu Knorr na Ndugu Henschel kutoka katika makao makuu ya Mashahidi wa Yehova mjini New York, wakazuru Nairobi, Kenya. Kwa kuwa Ndugu Kilminster hakutaka kukosa fursa ya kukutana nao, alisafiri kutoka Kampala hadi Nairobi. Ndugu Knorr na Ndugu Henschel waliwatia moyo ndugu hao na kupanga kutaniko lianzishwe Kampala.

  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Ijapokuwa akina ndugu walikuwa na mkutano wa funzo la Mnara wa Mlinzi kila juma, hawakuwa wa kawaida sana katika huduma ya Kikristo. Hivyo, Ndugu Cooke alimtia moyo Ndugu Kilminster wawe na mikutano yote ya kutaniko, kutia ndani Mkutano wa Utumishi kila juma.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki