Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Kizuizini, kulikuwa na Shahidi wa Yehova, John Mundua, aliyezuiliwa kwa sababu alikuwa mfanyakazi wa serikali naye alikuwa wa kabila lililoaminika kuwa linaunga mkono serikali ya awali.

      John hakusita kunihubiria, nami nikaukubali mara moja ujumbe wa Ufalme. Tulikuwa na magazeti 16 tu ya Mnara wa Mlinzi na kitabu Good News—To Make You Happy,c lakini tangu mwanzo nilitambua kwamba mambo ninayojifunza ni kweli. Baada ya kujifunza Biblia kwa miezi mitatu, John aliona kuwa ninastahili kuwa mhubiri. Muda mfupi baadaye, aliondolewa mashtaka yote na kuachiliwa. Mawasiliano yangu pamoja na tengenezo la Yehova yakakatika.

  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Mwaka wa 1984, nilifurahi kuhudhuria darasa la kwanza la Shule ya Utumishi wa Painia nchini Uganda. Wajua ni nani aliyehudhuria darasa hilohilo? Si mwingine ila John Mundua ndugu yangu mpendwa. Hadi leo hii, akiwa na umri wa miaka 74, anaendelea kutumikia kwa uaminifu akiwa painia wa kawaida.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki