Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Ofisi ya tawi ilituma mapainia wawili, Robert Nisbet na David Norman, kuhubiri eneo hilo kubwa ambalo leo ni Kenya, Uganda, na Tanzania.

      Ndugu hao waliazimia kuhubiri habari njema ya Ufalme mpaka vijijini. Walianza kampeni yao Dar es Salaam mnamo AgostiĀ 31, 1931 wakiwa na katoniĀ 200 za vitabu. Kisha wakaelekea Zanzibar na baadaye bandari ya Mombasa, wakiwa njiani kuelekea nyanda za juu za Kenya. Walisafiri kwa gari-moshi, wakihubiri katika miji iliyokuwa njiani mpaka walipofika ufuo wa mashariki wa Ziwa Victoria. Kisha mapainia hao wawili wenye ujasiri wakaabiri meli na kusafiri hadi Kampala, mji mkuu wa Uganda. Baada ya kugawa vitabu na magazeti mengi, na pia kupata maandikisho ya gazeti la The Golden Age, ndugu hao wawili waliendelea na safari yao kwa gari mpaka ndani zaidi nchini.

  • Uganda
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 69]

      David Norman na Robert Nisbet walileta habari njema Afrika Mashariki

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki