-
Sahihi KisayansiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Watu waliokuwa na ugonjwa wa ukoma walitengwa hadi uchunguzi wa kitiba ulipothibitisha kwamba hawangewaambukiza watu wengine.—Mambo ya Walawi 13:1-8.
-
-
Sahihi KisayansiMnara wa Mlinzi—2012 | Juni 1
-
-
Vipi kuhusu kuwatenga watu walio na ukoma au magonjwa mengine? Hivi karibuni, jarida linaloitwa Saudi Medical Journal lilisema hivi: “Janga la ugonjwa wa kuambukiza linapokumba eneo fulani, mbinu pekee ya kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo ni kuwatenga watu ambao tayari wameambukizwa.”
-