Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Babu na nyanya ya Michael ni baadhi ya Waalbania waliobatizwa Boston, miaka ya 1920, naye Michael alijua Kialbania kwa kiasi fulani.

  • Albania
    2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • “MUNGU ALIKUWA NANYI KATIKA SAFARI YENU”

      Koço alikuwa na kitu fulani alichokuwa ameficha kwa muda mrefu, naye alitaka kumwonyesha Michael. Nyanya ya Michael alipokufa, familia iliyokuwa Boston iliandikia familia iliyokuwa Albania barua ndefu. Kurasa kumi za kwanza zilizungumzia hasa mambo ya kifamilia, lakini kuelekea mwisho wa barua hiyo, familia hiyo ilieleza kuhusu ufufuo.

      “Polisi waliichunguza barua hiyo,” Koço akamwambia Michael, “na kusoma kurasa chache za kwanza. Kisha wakachoka na kusema: ‘Chukueni! Ni mambo ya kifamilia tu!’ Niliposoma sehemu ya mwisho, nilifurahi sana kusikia kuhusu Mungu!”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki