Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Urusi
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Huko Marekani, hotuba za Biblia katika Kirusi zilitolewa kwa ukawaida kupitia vituo vya redio. Makutaniko ya Kirusi kama lile lililoko Brownsville, Pennsylvania, yalianzishwa, na makusanyiko yakafanywa. Kwa mfano, katika Mei 1925, akina ndugu walifanya kusanyiko la wilaya la siku tatu katika Kirusi huko Carnegie, Pennsylvania. Watu 250 walihudhuria, na 29 wakabatizwa.

  • Urusi
    2008 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 80]

      Mei 1925, kusanyiko hili la wilaya katika Kirusi huko Carnegie, Pennsylvania, lilihudhuriwa na watu 250, na 29 wakabatizwa

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki