Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Wakati ugawanyaji wa kitabu The Finished Mystery ulipoanza katika 1917, upinzani ukawa wenye kuenea.

      Umma ulikuwa na hamu ya kupata kitabu hicho. Ilikuwa lazima kuongeza agizo la kwanza la Sosaiti kwa wachapaji kwa zaidi ya mara kumi katika muda wa miezi michache. Lakini makasisi wa Jumuiya ya Wakristo walikasirika sana kwa kufunuliwa kwa mafundisho yao bandia. Walitumia harara ya wakati wa vita ili kushutumu Wanafunzi wa Biblia mbele ya maofisa wa serikali. Kotekote Marekani, wanaume na wanawake walioshirikishwa na ugawanyaji wa fasihi za Wanafunzi wa Biblia walishambuliwa na wafanyaghasia, na pia wakapakwa lami na kutiwa manyoya.

  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Makao makuu ya Watch Tower Society yenyewe yalishambuliwa, na washiriki wa wafanyakazi wasimamizi walihukumiwa vifungo virefu gerezani. Ilionekana kwa maadui wao kwamba Wanafunzi wa Biblia walikuwa wamepigwa pigo la kifo. Kazi yao ya kutoa ushahidi kwa njia iliyovuta uangalifu mwingi wa umma kwa kweli ilikoma.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki