Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matukio Muhimu Ya Mwaka Uliopita
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • Katika mwaka wa 2000, ofisi ya tawi ya Marekani ilichapa karibu nusu ya vitabu kwa ajili ya Mashahidi ulimwenguni. Lakini sasa chini ya mpango mpya, ni asilimia 26 tu ya vitabu ambayo huchapwa Marekani. Tokeo ni kwamba gharama ya kusafirisha vitabu imepungua, na vilevile idadi ya majengo ya kuchapia, mashine, na wafanyakazi imepunguzwa huko Marekani. Pia, matbaa za kuchapa katika nchi nyingine hutumiwa kwa kiwango kikubwa zaidi.

  • Matukio Muhimu Ya Mwaka Uliopita
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • Mbali na matbaa hizo mpya, kiwanda cha Wallkill kitapata pia mashine mpya zinazoweza kujalidi vitabu na Biblia aina ya deluxe 120 kwa dakika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki