-
Kujulisha Habari Njema Bila Kuacha (1942-1975)Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Oktoba 1, Lyman A. Swingle alichaguliwa kwenye baraza la waelekezi, na Oktoba 5, Frederick W. Franz akachaguliwa kuwa makamu wa msimamizi. (Ona Kitabu-Mwaka cha Mashahidi wa Yehova cha 1946, cha Kiingereza, kur. 221-224; Mnara wa Mlinzi, Novemba 1, 1945, kur. 335-336.)
-
-
Kujulisha Habari Njema Bila Kuacha (1942-1975)Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Mwaka uliofuata, Julai 4, 1923, baada ya Frederick W. Franz, kutoka Betheli ya Brooklyn, kutoa hotuba ya ubatizo, Nathan mwenye umri wa miaka 18 alikuwa miongoni mwa wale waliobatizwa katika Mto Little Lehigh, Mashariki mwa Pennsylvania.
-
-
Kujulisha Habari Njema Bila Kuacha (1942-1975)Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Katika miaka iliyofuata, mmojawapo washirika na washauri wa karibu zaidi wa Ndugu Knorr wenye kutumainiwa alikuwa Frederick W. Franz, mwanamume mwenye umri mkubwa zaidi yake ambaye ujuzi wake wa lugha mbalimbali na historia yake akiwa msomi wa Biblia ilikuwa tayari imethibitika kuwa yenye thamani kubwa kwa tengenezo.
-