Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Washiriki Wapya wa Baraza Linaloongoza
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
    • Washiriki Wapya wa Baraza Linaloongoza

      MNAMO Jumamosi, Oktoba 2, 1999, Mkutano wa Kila Mwaka wa Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania ulimalizika kwa tangazo ambalo halikutarajiwa. Watu 10,594 waliohudhuria au waliosikiliza kupitia simu walisisimka kusikia kwamba washiriki wapya wanne walikuwa wameongezwa kwenye Baraza Linaloongoza la Mashahidi wa Yehova. Washiriki hao wapya, wote Wakristo watiwa-mafuta, ni Samuel F. Herd;

  • Washiriki Wapya wa Baraza Linaloongoza
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
    • • Samuel Herd alianza upainia mwaka wa 1958, na tokea 1965 hadi 1997, alikuwa mwangalizi wa mzunguko na wa wilaya. Kisha, yeye na mke wake, Gloria, wakawa washiriki wa familia ya Betheli ya Marekani, ambako Ndugu Herd amekuwa akitumikia katika Idara ya Utumishi. Pia alikuwa akitumikia akiwa msaidizi wa Halmashauri ya Utumishi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki