Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Washiriki Wapya wa Baraza Linaloongoza
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
    • Washiriki Wapya wa Baraza Linaloongoza

      MNAMO Jumamosi, Oktoba 2, 1999, Mkutano wa Kila Mwaka wa Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania ulimalizika kwa tangazo ambalo halikutarajiwa. Watu 10,594 waliohudhuria au waliosikiliza kupitia simu walisisimka kusikia kwamba washiriki wapya wanne walikuwa wameongezwa kwenye Baraza Linaloongoza la Mashahidi wa Yehova. Washiriki hao wapya, wote Wakristo watiwa-mafuta, ni Samuel F. Herd; M. Stephen Lett; Guy H. Pierce;

  • Washiriki Wapya wa Baraza Linaloongoza
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
    • • Guy Pierce alilea watoto kisha yeye na mke wake wakaanza upainia Aprili 1982. Akatumikia akiwa mwangalizi wa mzunguko tokea 1986 hadi 1997, wakati ambapo yeye na mke wake, Penny, walijiunga na familia ya Betheli ya Brooklyn. Ndugu Pierce alikuwa akitumikia akiwa msaidizi wa Halmashauri ya Wafanyakazi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki