-
Wakati wa Kutahini (1914-1918)Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
“Ndugu Pierson, akitumia maelezo na maneno yafaayo sana yenye uthamini na upendo kuelekea Ndugu Russell, alitaarifu kwamba alikuwa amepokea ujumbe akiwa mwekaji wa kura za kuwakilisha kutoka kwa ndugu kotekote katika nchi kwamba apigie Ndugu J. F. Rutherford kura zao kuwa Msimamizi, na aliendelea kutaarifu kwamba alikubaliana kabisa na jambo hilo.” Baada ya jina la Rutherford kutajwa na kuungwa mkono, hakukuwa na mapendekezo zaidi, kwa hiyo “huyo Mwandishi alipiga kura kama alivyoelekezwa, na Ndugu Rutherford alitangazwa kwa kauli moja kuwa chaguo la Mkusanyiko huo awe Msimamizi.”
-
-
Wakati wa Kutahini (1914-1918)Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Hivyo, siku mbili baada ya kifo cha Russell, baraza la waelekezi lilikutana na kuchagua A. N. Pierson kuwa mshiriki. Washiriki saba wa baraza wakati huo walikuwa A. I. Ritchie, W. E. Van Amburgh, H. C. Rockwell, J. D. Wright, I. F. Hoskins, A. N. Pierson,
-