-
Wana-Farasi Wanne Katika Mwendo!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Miongoni mwa ushindi mbalimbali 50 wa kisheria waliopata Mashahidi wa Yehova katika Mahakama Kuu Zaidi Sana ya United States umekuwa ule unaohakikishia haki ya kujulisha wazi habari njema “peupe na nyumba kwa nyumba” na kutofanya sherehe za kuabudu sanamu za kizalendo. (Matendo 5:42; 20:20, NW; 1 Wakorintho 10:14)
-
-
Wana-Farasi Wanne Katika Mwendo!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Katika Juni 14, 1943, Mahakama Kuu Zaidi Sana iliamua katika kesi ya Taylor v. Mississippi kwamba Mashahidi hawakutia moyo utovu wa ushikamanifu kwa serikali kwa kuhubiri kwao.
-