-
Maktaba Funguo za Kupata UjuziAmkeni!—2005 | Mei 22
-
-
Maktaba za Karne ya 21
Leo maktaba fulani zina vitabu vingi sana. Wazia ukisimama karibu na rafu ya vitabu yenye urefu wa kilometa 850 na yenye vitabu zaidi ya milioni 29. Huo ndio ukubwa unaokadiriwa wa maktaba kubwa zaidi ulimwenguni, Maktaba ya Congress, iliyoko Marekani. Mbali na vitabu, maktaba hiyo ina kaseti na video milioni 2.7 hivi, picha milioni 12, ramani milioni 4.8, na hati milioni 57. Kila siku maktaba hiyo huongezwa vitu 7,000!
-
-
Maktaba Funguo za Kupata UjuziAmkeni!—2005 | Mei 22
-
-
[Picha katika ukurasa wa 20, 21]
Maktaba ya Congress, Marekani, iliyo kubwa zaidi ulimwenguni
[Hisani]
From the book Ridpath’s History of the World (Vol. IX)
-