Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Shangwe ya Ushindi na Huzuni
    Amkeni!—1997 | Desemba 22
    • Chanjo: Ipo dawa ya chanjo moja tu—ijulikanayo kama BCG. Huzuia kifua kikuu kilicho kikali sana kwa watoto lakini haina matokeo sana kwa wabalehe na watu wazima. Ikiwa bora kabisa, chanjo hiyo hutoa ulinzi kwa karibu miaka 15. BCG huwalinda wale tu ambao hawajaambukizwa; haiwasaidii watu ambao tayari wameambukizwa.

  • Shangwe ya Ushindi na Huzuni
    Amkeni!—1997 | Desemba 22
    • Kisha, katika mwaka 1921, wanasayansi Wafaransa walitokeza dawa ya chanjo dhidi ya kifua kikuu. Ikaitwa kwa heshima ya wanasayansi walioigundua, BCG (Bacillus Calmette-Guérin) mpaka sasa ndiyo chanjo pekee dhidi ya ugonjwa huo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki