-
Hujui Ni Wapi Itafanikiwa!Mnara wa Mlinzi—2008 | Julai 15
-
-
Yesu anaendelea kusema hivi: “[Wavu wa kukokota] ulipojaa waliuvuta pwani na, baada ya kuketi, wakakusanya walio wazuri ndani ya vyombo, lakini wasiofaa wakawatupilia mbali.
-
-
Hujui Ni Wapi Itafanikiwa!Mnara wa Mlinzi—2008 | Julai 15
-
-
Huenda ‘wanavutwa pwani,’ lakini Yesu anatuambia kwamba ni “walio wazuri” tu ndio wanaokusanywa ndani ya vyombo. Vyombo hivyo vinawakilisha makutaniko ya Kikristo
-
-
Hujui Ni Wapi Itafanikiwa!Mnara wa Mlinzi—2008 | Julai 15
-
-
Hata hivyo, ni lazima watu wote wenye mioyo minyoofu wakusanywe ndani ya makutaniko ambayo ni kama vyombo kabla ya siku ya mwisho ya hukumu na waendelee kukaa mahali penye usalama.
-