-
Yohana Aona Yesu AliyetukuzwaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
na sauti yake ilikuwa kama mvumo wa maji mengi.” (Ufunuo 1:15, NW)
-
-
Yohana Aona Yesu AliyetukuzwaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Zaidi ya hilo, sauti yake hutoa mwangwi ikinguruma kama anguko kubwa mno la poromoko la maji. Inavutia sana, na kutia hofu ya staha, kama imfaavyo mmoja ambaye anaitwa rasmi Neno la Mungu, mmoja ambaye anakuja “kuhukumu dunia inayokaliwa katika uadilifu.”—Matendo 17:31, NW; Yohana 1:1.
-