-
Kuwekwa Wakfu kwa Kituo cha Elimu cha Watchtower—Msherehekeo kwa YehovaMnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
-
-
Miongoni mwa wageni mlikuwa na zaidi ya wafanyakazi 500 wa zamani walioshiriki katika kazi wakati kituo hicho cha elimu kilipokuwa kikijengwa,
-
-
Kuwekwa Wakfu kwa Kituo cha Elimu cha Watchtower—Msherehekeo kwa YehovaMnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
-
-
Maelfu walishiriki kihalisi katika kazi ya ujenzi. Wakati mmoja katika mwaka wa 1994, kulikuwa na wafanyakazi 526 mahali pa ujenzi, kutia ndani wajitoleaji wa wakati wote wapatao 350, wafanyakazi wa muda 113, na wengine 63 waliosafiri kila siku kuja kusaidia.
-