-
Ufalme wa Mungu Wazaliwa!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na drakoni akajaa hasira-kisasi kuelekea mwanamke, na akatoka kwenda kufanya vita na wabakio wa mbegu yake, ambao hushika amri za Mungu na wana kazi ya kutoa ushahidi kwa Yesu.” (Ufunuo 12:16, 17, NW)
-
-
Ufalme wa Mungu Wazaliwa!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Minyanyaso haikukoma kabisa, kwa kuwa yule drakoni ameendelea mpaka leo hii, naye huendeleza vita dhidi ya wale ambao “wana kazi ya kutoa ushahidi kwa Yesu.” Katika mabara mengi, Mashahidi washikamanifu wangali wamo gerezani, na baadhi yao wangali wanakufa kwa sababu ya ukamilifu wao.
-