-
Mikusanyiko Uthibitisho wa Udugu WetuMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Wakati wa mkusanyiko katika Washington, D.C., katika 1935, Ndugu Rutherford alisema juu ya habari “Serikali,” akivuta fikira kwa nguvu kwenye uhakika wa kwamba karibuni mahali pa serikali zote za kibinadamu patachukuliwa na Ufalme wa Yehova chini ya Kristo. Zaidi ya 20,000 katika Washington Auditorium waliisikia. Hotuba hiyo ilipelekwa pia kwa redio na kwa nyuzi za simu duniani pote, ikafika Amerika ya Kati na ya Kusini, Ulaya, Afrika Kusini, na visiwa vya Pasifiki, na nchi za Mashariki. Wale waliosikia hotuba hiyo kwa njia hiyo huenda ikawa ilifikia mamilioni.
-
-
Mikusanyiko Uthibitisho wa Udugu WetuMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Picha katika ukurasa wa 266]
J. F. Rutherford aliposema kutoka Washington, D.C., katika 1935, ujumbe ulipelekwa kwa redio na nyuzi za simu kwenye mabara sita
-