-
Kutumikia Pamoja na MlinziMnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
-
-
Mwezi wa Julai 1879, Wanafunzi wa Biblia walianza kuchapisha gazeti hili, ambalo wakati huo liliitwa Zion’s Watch Tower and Herald of Christ’s Presence. Kila toleo tangu mwaka wa 1879 hadi Desemba 15, 1938, lilikuwa na maneno haya kwenye jalada la mbele “‘Ee Mlinzi, Habari Gani za Usiku?’—Isaya 21:11.”a
-
-
Kutumikia Pamoja na MlinziMnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
-
-
a Kuanzia Januari 1, 1939, maneno hayo yalibadilishwa yakawa “‘Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA [“Yehova,” NW].’—Ezekieli 35:15.”
-