Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jinsi Yehova Anavyotumia Roho Takatifu Kutimiza Kusudi Lake
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Aprili 15
    • Kwa miaka mingi, gazeti hili limetumiwa na “mtumwa mwaminifu na mwenye busara” kuwa njia kuu ya kufunua kweli za Biblia hatua kwa hatua. (Mt. 24:45)

  • Jinsi Yehova Anavyotumia Roho Takatifu Kutimiza Kusudi Lake
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Aprili 15
    • [Sanduku katika ukurasa wa 10]

      Je, Unaenda Sambamba na Nuru Inayoongezeka?

      Yehova anaendelea kuwaangazia watu wake nuru. Ni marekebisho gani ambayo yamechapishwa katika gazeti la Mnara wa Mlinzi?

      ▪ Mfano wa Yesu wa chachu unakazia jambo gani linalofaa kuhusu ukuzi wa kiroho? (Mt. 13:33)—Julai 15, 2008 (15/7/2008), ukurasa wa 19-20.

      ▪ Wakristo wataacha kupata mwito wa tumaini la kimbingu wakati gani?—Mei 1, 2007 (1/5/2007), ukurasa wa 30-31.

      ▪ Inamaanisha nini kumwabudu Yehova “kwa roho”? (Yohana 4:24) —Julai 15, 2002, ukurasa wa 15.

      ▪ Umati mkubwa unatumika katika ua gani? (Ufu. 7:15)—Mei 1, 2002, ukurasa wa 30-31.

      ▪ Kutenganishwa kwa kondoo na mbuzi kunatukia wakati gani? (Mt. 25:31-33)—Oktoba 15, 1995 (15/10/1995), ukurasa wa 18-28.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki